Click here to Join our WhatsApp channel for latest Music Updates.

   

Steve Hartdamz – Mimi ni Ushuhuda

Steve Hartdamz – Mimi ni Ushuhuda

Mimi ni ushuhuda
Niendapo sipajui lakini natumaini anayenipeleka
Mimi ni ushuhuda
Safari yangu bado lakini nitafika
Mimi ni ushuhuda
Usihofu Mungu ni kiongozi mwema
Mimi ni ushuhuda
Dhambi zetu msalabani zimeoshwa
Mimi ni ushuhuda
nilikosa kwake nikapata msamaha
Mimi ni ushuhuda
naamini atakuponya kama alivyoniponya
Mimi ni ushuhuda
Ni vigumu lakini kunalo njia tutakalo pitia
Mimi ni ushuhuda
Nimemwona kwa maono tendeni mema

Yesu yuko hapa
Hata hivi yuko hapa
Muite atakuja
Atatue shida zako
Mungu ni mmoja
Uwepo wako juu
Ameketi kitini pa enzi
Nguvu zake juu ya mengi
Apewe sifa Ye yu hai
Jina lake tu lisiwe
Atukuzwe leo na kesho
Uwezo wake kwenye enzi
Bwana Yesu alishinda
Vita vyote kwake Mungu
Alibeba dhambi nyingi
Mamlaka kwetu sisi
Tuendelee kumtukuza
Tuinue utukufu wake
Mungu Baba naye Yesu
Milele na milele
Asanti Mungu kwa uhai
Asanti Mungu kwa kibali
Asanti Mungu kwa upendo
Asanti Mungu kwazo nguvu
uinuliwe milele
Asanti Yesu kwa msamaha
Asanti Yesu kwa ukombozi
Asanti Yesu kwa ushindi
Asanti Yesu kwa ulinzi
Milele na milele

Umenitoa mbali
Nikiwa sina hali
Fahamu zimenitoka
Nafanya makosa
Mengine kwa uwoga
Mengine kwa ujasiri
Yote kwa kukosa akili
Kulenga na ufidhuli

Eeh baba tukuka
Inuliwa ju sana
I have a testimony

Mimi ni ushuhuda
Niendapo sipajui lakini natumaini anayenipeleka
Mimi ni ushuhuda
Safari yangu bado lakini nitafika
Mimi ni ushuhuda
Usihofu Mungu ni kiongozi mwema
Mimi ni ushuhuda
Dhambi zetu msalabani zimeoshwa
Mimi ni ushuhuda
nilikosa kwake nikapata msamaha
Mimi ni ushuhuda
naamini atakuponya kama alivyoniponya
Mimi ni ushuhuda
Ni vigumu lakini kunalo njia tutakalo pitia
Mimi ni ushuhuda
Nimemwona kwa maono tendeni mema

Tusaidie e eee
Tutende kama vile wewe unatenda
Tusamehe kama vile wewe unatenda
Tutembee kama vile wewe unatenda aah
………..
Tuishi kama vile unaishi
Tuokoe kama vile waokoa
Tusaidie kama vile wasaidia aah
…………
Asanti kwa yako mema
Asanti maana umetenda
Sasa ninasema

Mimi ni ushuhuda
Niendapo sipajui lakini natumaini anayenipeleka
Mimi ni ushuhuda
Safari yangu bado lakini nitafika
Mimi ni ushuhuda
Usihofu Mungu ni kiongozi mwema
Mimi ni ushuhuda
Dhambi zetu msalabani zimeoshwa
Mimi ni ushuhuda
nilikosa kwake nikapata msamaha
Mimi ni ushuhuda
naamini atakuponya kama alivyoniponya
Mimi ni ushuhuda
Ni vigumu lakini kunalo njia tutakalo pitia
Mimi ni ushuhuda
Nimemwona kwa maono tendeni mema

Author: SteveHartdamz
Rap and slow

Write a comment!

Comments

No comments yet